MAJALIWA AZINDUA TAWI LA NAMUNGO FC, MJINI RUANGWA Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua tawi la timu ya mpira wa miguu ya Namungo FC liitwalo 'Tairi tatu' lililopo Ruangwa Mjini Mkoani Lindi, Februari 20, 2023 

Mbunge wa Jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wapenzi na mashabiki wa Timu ya Namungo FC alipozindua tawi la timu hiyo liitwalo 'Tairi tatu' lililopo Ruangwa Mjini Mkoani Lindi, Februari 20, 2023 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments