Bi Martha Alex Kayaga Ameyasema Hayo Jana Wakati Wa Uchaguzi Wa Marudio Wa UWT Mkoa Wa Singida Ulifanyika Jana Katika Ukumbi Wa RC Mission Mkoani Singida Baada Ya Kuwa Mshindi Katika Uchaguzi Huo.
Aidha Bi Martha Kayaga Amewaomba Wajumbe Wa UWT Mkoa Wa Singida Kuvunja Makundi Na Kuwa Kitu Kimoja Ilikumsaidia Mwenyekiti Wa CCM Mkoa Wa Singida Bi Martha Moses Mlata Kuendelea Kutekeleza Ilani Ya Chama Cha Mapinduzi CCM ,Ilikuendeleza Juhudi Zinazofanywa Na Rais Wa Jamuhuri Ya Mungano Wa Tanzani Dr. Samia Suluhu Hassani Katika Taifa Letu Na Jamii Kwa Ujumla.
Kwa Upande Wa Mwenyekitu Wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa Wa Singida Bi Martha Moses Mlata Amempongeza Bi Martha Kayaga Kwa Kuchaguliwa Tena Kuwa Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Wanawanake (UWT) Mkoa Wa Singida Pia Mlata Alichukuwa Fulsa hiyo na Kuwapongeza wagombea Wengine Ambao Kura Hazikutosha Katika Uchaguzi Huo.
Na Abdul Bandola Singida
0 Comments