SPIKA DKT. TULIA AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI WA TAASISI YA AGHA KHAN NCHINI TANZANIA

 

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Mwakilishi wa Taasisi ya Agha Khan Nchini Tanzania, Ndg. Amin Mohamed Kurji alipomtembelea leo tarehe 8 Februari, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Mwakilishi wa Taasisi ya Agha Khan Nchini Tanzania, Ndg. Amin Mohamed Kurji alipomtembelea leo tarehe 8 Februari, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi wa Taasisi ya Agha Khan Nchini Tanzania, Ndg. Amin Mohamed Kurji alipomtembelea leo tarehe 8 Februari, 2023 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments