Na Kwa Upande wa Katibu Wa Chama Cha CCM Mkoa Wa Singida Bi Lucy Boniphace Ameeleza Kuwa Ziara Ya Kamati Ya Siasa Mkoa Wa Singida Itaendelea Katika halmashauli Ya Singida Dc Na Singida Manispa Tarehe 18,02,2023 Ikiwa Ni Muendelezo Wa Ziara Hiyo Ambayo Ilianzia Manyoni,Itigi,Ikungu.Iramba Na Mkalama Na Leo Kuhitimishwa Katika Halmashauli Ya Singida DC Na Singida Manispaa.
0 Comments