WANANCHI NA WANACHAMA WOTE MNAKARIBISHWA KWENYE KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 46 YA CCM MKOA WA SINGIDA

Wananchi na wanachama wote wa ccm Mkoa Wa Singida  mnakaribishwa kwenye kilele  Cha Miaka 46 Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Mkoa Wa Singida ambapo kilele cha  maadhimisho  Kitafanyika tarehe 5 February 2023 Katika Wilaya Ya Ikungi Kataa Ya Minyughe Mkoani Singida.

Kauli Hiyo Imesema na Katibu  Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Wa Singida Bi Lucy Boniphace Shee Wakati Akizungumza Na Waandishi Wa Habari Ofisini Kwake.

Katibu Wa CCM Mkoa Wa Singida Bi. Lucy Shee Ameeleza kuwa Watakuwepo Viongozi Mbali Mbali Wa Chama Na Serikali Katika Kilele Cha Maadhimisho Ya Miaka 46 Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkao Wa Singida.

Aidha Bi Lucy Anawaomba Wananchi Kujitokeza Kwa Wingi Katika Maadhimisho Hayo Ilikuwasikiliza Viongozi Mbali Mbali Wa Chama Na Serikali ilikujua maaendeleo Yanayoendelea Katika Maeneo Yao.

Na Abdul Bandola Singida.

 

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments