WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU MATUMIZI YA KIPIMO CHA BIDOO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa mtambo wa kukamulia mafuta ya mawese na Meneja wa SIDO mkoa wa Kigoma Gervas Ntahamba, alipotembelea viwanda vya kukamua mafuta hayo, kukausha mbegu za chikichi na kiwanda cha kusindika mafuta ya mawese cha Trolle Messle, mjini Kigoma Februari 27, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Kiwanda cha kuchakata mafuta ya mawese cha Trolle Messle, Danieli Amulike wakati alipotembelea kiwanda hicho hicho, kuona mtambo wa kukaushia mbegu za zao la Chikichi, mjini Kigoma Februari 27, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa na Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Kiwanda cha kuchakata mafuta ya mawese cha Trolle Messle Danieli Amulike  moja ya bidhaa itokanayo na zao la Chikichi wakati alipotembelea kiwanda hicho mjini Kigoma Februari 27, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi alipotembelea viwanda vya kukamua mafuta hayo, kukausha mbegu za chikichi na kiwanda cha kusindika mafuta ya mawese cha Trolle Messle, mjini Kigoma Februari 27, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments