Recent-Post

MLATA ATEMBELEA DIMBA LA LITI

 
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida Martha Mlata atembelea kiwanja cha CCM liti Singida na Kuwashukulu shirikisho la soka Tanzania(TFF) Kwa Kukipendekeza kiwanja hicho kuwa miongoni mwa viwanja vitakavyotumika kwenye michezo Ya Nusu Fainal Kombe la shirikisho la Azam Kwa msimu huu.

Post a Comment

0 Comments