WAZIRI MKUU AKUTANA WAWAKILISHI WA WANANCHI MSOMERA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri wa Kisekta, Wakuu wa Mikoa ya Tanga na Arusha, Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Tanga, Watumishi, Viongozi wa Kimila na wawakilishi wa wananchi wa kijiji cha Msomera, Handeni, Tanga Machi 07, 2023.

 Baadhi ya Madiwani wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika kikao na Mawaziri wa Kisekta, Wakuu wa Mikoa ya Tanga na Arusha, Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Tanga, Watumishi, Viongozi wa Kimila na wawakilishi wa wananchi wa kijiji cha Msomera, Handeni, Tanga Machi 07, 2023.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii Mohamed Mchengerwa wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ajili ya kikao na Mawaziri wa Kisekta, Wakuu wa Mikoa ya Tanga na Arusha, Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Tanga, Watumishi, Viongozi wa Kimila na wawakilishi wa wananchi wa kijiji cha Msomera,
Tanga Machi 07, 2023.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments