MIGODI YA BARRICK YA BULYANHULU, NORTH MARA NA BUZWAGI YATOA ELIMU YA USALAMA NA AFYA KWA JAMII KATIKA MAONESHO YA OSHA MJINI MOROGORO

Waendesha pikipiki wakipatiwa mafunzo ya usalama yanayoendeshwa na Barrick North Mara.
Waendesha pikipiki wakipatiwa mafunzo ya usalama yanayoendeshwa na Barrick North Mara.
Mwenyekiti wa Bodi ya OSHA Dkt. Adelhelm Meru (mwenye suti) akikabidhiwa Sanduku maalimu lenye vifaa maalimu vya huduma ya kwanza na Safety Coordinator wa mgodi wa Bulyanhulu , Hassani Kallegeye, kwa ajili ya kuwagawia wajasiriamali wa mkoa wa Morogoro waliopewa mafunzo na Barrick wakati wa wiki ya OSHA Maonesho usalama na Afya katika Kuadhimisha siku ya Usalama na Afya mahala pa kazi Duniani yanayofanyika kitaifa mkoa wa Morogoro. Wengine kwenye picha ni wafanyakazi wa Barrick.
Wajumbe wa kamati ya majaji wa tuzo za OSHA na wageni mbalimbali walipata fursa ya kutembelea mabanda ya maonesho ya migodi ya Barrick.

Baadhi ya mama lishe mkoani Morogoro walipata fursa ya kupata mafunzo ya kuzima moto yanayoendeshwa na wataalamu wa usalama kutoka migodi ya Barrick.
Baadhi ya mama lishe mkoani Morogoro walipata fursa ya kupata mafunzo ya kuzima moto yanayoendeshwa na wataalamu wa usalama kutoka migodi ya Barrick.

***

Migodi ya Barrick ya Bulyanhulu,North Mara na Buzwagi imetumia maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya mahali pa kazi Duniani kwa kutoa elimu ya usalama katika makundi mbalimbali kwa jamii mjini Morogoro sambamba na kugawa vifaa vya kinga ya majanga.
Makundi ambayo yamefikiwa na mafunzo hayo ni waendeshaji pikipiki za biashara maarufu kama ‘bodaboda’mama lishe pia wananchi kutoka maeneo mbalimbali wamekuwa wakitembelea mabanda ya maonesho ya migodi hiyo kwenye maonesho yanayoendelea yaliyoandaliwa na Wakala wa Usalamana Afya Mahali pa Kazi (OSHA)

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments