WAFANYAKAZI KAMPUNI YA BIA SERENGETI WAFANYA USAFI UFUKWE WA COCO BEACH
 Wafanyakazi wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) wakisafisha ufukwe wa coco jijini Dar es Salaam kama sehemu ya lengo kuu la bia ya Rockshore kwenye jamii ambalo ni kuweka fukwe zote safi. Baada ya zoezi la usafi, wafanyakazi wa SBL walijumuika na watu wa eneo hilo kuburudika na Rockshore baridi. Zoezi la usafi lilifanyika mwishoni mwa wiki.

Post a Comment

0 Comments