MAKAMU WA RAIS DKT MPANGO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA MWAKA WA BENKI YA AFDB NCHINI MISRI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka Saini katika kitabu maalum maarufu kama Golden Book mara baada ya kuwasili Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Sharm El Sheikh nchini Misri kuhudhuria Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) leo tarehe Mei 2023. (wa pili kutoka kushoto ni Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt. Akinwumi Adesina)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa na viongozi wakuu mbalimbali mara baada ya kuwasili Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Sharm El Sheikh nchini Misri kuhudhuria Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) leo tarehe Mei 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akishiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Sharm El Sheikh nchini Misri leo tarehe 23 Mei 2023.

Post a Comment

0 Comments