MAWAZIRI WATATU WAJADILI UWEKEZAJI NA KILIMO

 


Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto) na Waziri wa Kilimo, Mhe.  Hussein Bashe (Mb) wakiwa katika kikao kazi na wataalamu kutoka Wizara hizo wakiangazia namna ya kukuza  Uwekezaji, Viwanda, Biashara na Kilimo, jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Natu El- Maamry Mwamba (kushoto) akiwa na wataalamu wengine wakati wa kikao kazi na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) na Waziri wa Kilimo, Mhe.  Hussein Bashe (Mb) (hawapo pichani), kilichofanyika, jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) na Waziri wa Kilimo, Mhe.  Hussein Bashe (Mb) (mbele), wakiwa katika kikao kazi na wataalamu kutoka Wizara hizo tatu, jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto) na Waziri wa Kilimo, Mhe.  Hussein Bashe (Mb) wakiwa katika kikao kazi na wataalamu kutoka Wizara hizo wakiangazia suala la Uwekezaji, Viwanda, Biashara na Kilimo, jijini Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WFM, Dodoma)

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments