Tunahitaji Washiriki 100 tu , ambao ni Wasimamizi wa Mashamba ya nyuki , wanaohitaji kuwekeza, na wengineo wanaohitaji.
Wakufunzi
watakuwa Saba (7) : Watatu(3) kutoka South Korea, Turkey na Israel na
wanne (4) ni watafiti na wakufunzi kutoka Kijiji cha nyuki mkoani
Singida.
Mafunzo haya
yatafanyika kwa Vitendo Asilimia 75% na Theory Asilimia 25%. Washiriki
watapata nafasi nyingi ne ya kujifunza maswala mbalimbali ya nyuki ndani
ya Kijiji cha nyuki , Singida.
Nafasi tano ( 5 ) za kwanza Washiriki watapata nafasi ya kusoma BURE.
KARIBUNI SAANA , TUMIA MAWASILIANO YALIYOPO KWENYE TANGAZO KUJISAJILI.
0 Comments