TANZIA: LE MUTUZ AFARIKI DUNIA

 Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, William Malecela, maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam


Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msanii Steve Nyerere pamoja vyombo vya habari mbalimbali nchini ikiwemo chombo chake cha habari

Taarifa zaidi zitakujia hivi punde





TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments