Recent-Post

WAANDISHI WA HABARI MKOANI SHINYANGA WATINGA BUNGENI

 

Waandishi wa habari mkoani Shinyanga wamehudhuria kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaliko wa Mbunge wa Vitimaalum Salome Makamba.

Wamehudhuria Bungeni leo Mei 22,2023 na kushuhudia usomwaji wa Bajeti ya Wizara ya ujenzi na uchukuzi iliyosomwa na Waziri wa Wizara hiyo Prof Makame Mbarawa.


Aidha,Wabunge wote wa Mkoani Shinyanga wameshilikiana kikamilifu na waandishi wa habari wa Mkoa huo.


Post a Comment

0 Comments