Recent-Post

WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAWAZIRI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 23, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Baadhi ya washiriki wa Kikao Kazi cha Mawaziri wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua kikao hicho kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 23, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments