DKT. CHEMBA AWASILISHA TAARIFA YA HALI YA UCHUMI NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA 2023/2024

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.

Baadhi ya Wakuu wa Idara, Vitengo na Taasisi za Wizara ya Fedha na Mipango, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, wakifuatilia uwasilishwaji wa Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mwasiliano Serikalini, WFM, Dodoma)

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments