Mjumbe Kamati ya Utekelezaji Mkoa wa Singida ambaye pia ni Mratibu wa Jumuiya ya wazazi Wilaya ya Ikungi,Ahmed Missanga (kushoto) amekabidhi mifuko ya saruji kwa Kamati ya Utekelezaji ya Wazazi Wilaya ya Ikungi kwaajili ya ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Jumuiya ya wazazi wilayani Ikungi.
Bw. Missanga Ameyasema Hayo June 25 mwaka huu Wakati akikabidhi mifuko ya saruji kwa Kamati ya Utekelezaji ya Wazazi Wilayani Ikungi Mkoani Singida.
Misanga ameeleza kuwa mifuko hiyo ya saruji ni kwaajili ya ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Jumuiya ya wazazi wilayani Ikungu
Aidha Bw. Ahmed Misanga Amesama Miradi mingi inayoletwa na mama iwechachu kwa vijana kuendelea kupambana na kufanya kazi kwa bidi ilikuendelea kusapoti juhudi za rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hasani katika Jamii Na Taifa kwa ujumla.
0 Comments