UTEUZI NA UHAMISHO WA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA NA WAKURUGENZI WATENDAJI WA HALMASHAURI ZA SERIKALI ZA MITAA
________________________________________
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa. Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji. Mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo:
A) MABADILIKO YA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA
NA. | JINA | WILAYA ALIYOPANGIWA |
---|---|---|
MKOA WA ARUSHA | ||
1 | Khamana Juma Simba | Wilaya ya Arusha |
2 | Muhsin Omary Kassim | Wilaya ya Monduli |
3 | Joseph Pascal Mabiti | Wilaya ya Arumeru |
4 | Faraja Paschal Msigwa | Wilaya ya Karatu |
5 | Nyakia Ally Chirukile | Wilaya ya Ngorongoro |
6 | Rahma Othman Kondo | Wilaya ya Longido |
MKOA WA DAR ES SALAAM | ||
7 | Charangwa Selemani Makwiro | Wilaya ya Ilala |
8 | Pendo Abdallah Mahalu | Wilaya ya Kigamboni |
9 | Stella Eward Msofe | Wilaya ya Kinondoni |
10 | Nicodemus Tambo Mwikozi | Wilaya ya Temeke |
11 | Hassan Mohamed Mkwawa | Wilaya ya Ubungo |
MKOA WA DODOMA | ||
12 | Sara John Ngalingasi | Wilaya ya Bahi |
13 | Michael Andrew Maganga | Wilaya ya Mpwapwa |
14 | Agustino Chazua | Wilaya ya Chemba |
15 | Neema Mulinga Nyalenge | Wilaya ya Chamwino |
16 | Sozi George Ngate | Wilaya ya Kongwa |
17 | Christina Brighton Kalekezi | Wilaya ya Kondoa |
18 | Sakina Mashaka Mbugi | Wilaya ya Dodoma |
MKOA WA GEITA | ||
19 | Lucy Beda Wilson | Wilaya ya Geita |
20 | Onesmo Sebastian Kisoka | Wilaya ya Bukombe |
21 | Thomas Adayo Dimme | Wilaya ya Chato |
22 | Kaunga Omary Amani | Wilaya ya Nyang'wale |
23 | Jacob Julius | Wilaya ya Mbogwe |
MKOA WA IRINGA | ||
24 | Frank Mastara Sichalwe | Wilaya ya Mufindi |
25 | Michael John Semindu | Wilaya ya Iringa |
26 | Estomin Mwatuyobe Kyando | Wilaya ya Kilolo |
MKOA WA KAGERA | ||
27 | Christopher Michael Bahali | Wilaya ya Bukoba |
28 | Abdallah Ibrahim Natepe | Wilaya ya Biharamulo |
29 | Lukari Hatujuani Ally | Wilaya ya Ngara |
30 | Benjamin Richard Mwikasyege | Willaya ya Muleba |
31 | Mwanaidi Mohamed Mang'uro | Wilaya ya Misenyi |
32 | Rasul Eliud Shandala | Wilaya ya Karagwe |
33 | Mussa Waziri Gumbo | Wilaya ya Kyerwa |
MKOA WA KATAVI | ||
34 | Yahya Dadi Mbulu | Wilaya ya Mlele |
35 | Lincoln Benny Tamba | Wilaya ya Tanganyika |
36 | Godfrey Tuloline Mwashitete | Wilaya ya Mpanda |
MKOA WA KIGOMA | ||
37 | Theresia Adriano Mtewele | Wilaya ya Kasulu |
38 | Upendo Gidion Marango | Wilaya ya Kibondo |
39 | Maulid Abdallah Mtulia | Wilaya ya Kakonko |
40 | James Godfrey Mkumbo | Wilaya ya Uvinza |
41 | Utefta Rocket Mahega | Wilaya ya Buhigwe |
42 | Mganwa Shaban Nzota | Wilaya ya Kigoma |
MKOA WA KILIMANJARO | ||
43 | Sospeter Mabenga Magonera | Wilaya ya Hai |
44 | Johari Hamis Athumani | Wilaya ya Rombo |
45 | Upendo Bert Wella | Wilaya ya Same |
46 | Rukia Ally Zubery | Wilaya ya Mwanga |
47 | Shaaban Juma Mchomvu | Wilaya ya Moshi |
48 | Jane Francis Chalamila | Wilaya ya Siha |
MKOA WA LINDI | ||
49 | Hudhaifa Kassim Rashid | Wilaya ya Lindi |
50 | Azilonga Buhari Mwinyimvua | Wilaya ya Liwale |
51 | Yusuph Issa Mwinyi | Wilaya ya Kilwa |
52 | Haji Mbaruku Balozi | Wilaya ya Nachingwea |
53 | Ahmed Bongi | Wilaya ya Ruangwa |
MKOA WA MANYARA | ||
54 | Mufandi Hamisi Msaghaa | Wilaya ya Kiteto |
55 | Warda Abeid Maulid | Wilaya ya Simanjiro |
56 | Paulo Tlatlaa Bura | Wilaya ya Mbulu |
57 | Halfan Ahmed Matipula | Wilaya ya Babati |
58 | Athumani Saidi Likeyekeye | Wilaya ya Hanang' |
MKOA WA MARA | ||
59 | Ally Seif Mwendo | Wilaya ya Musoma |
60 | Salum Halfan Mtelela | Wilaya ya Bunda |
61 | Saul Thom Mwaisenye | Wilaya ya Tarime |
62 | Angelina Marko Lubela | Wilaya ya Serengeti |
63 | Boniphace Maziku Chambi | Wilaya ya Rorya |
64 | Rutegumirwa Rutalemwa Peter | Wilaya ya Butiama |
MKOA WA MBEYA | ||
65 | Mohamed Aziz Fakili | Wilaya ya Mbeya |
66 | Ally Said Kiumwa | Wilaya ya Rungwe |
67 | Godfrey Cassian Kawacha | Wilaya ya Mbarali |
68 | Michombero Rutiganda Anakleth | Wilaya ya Chunya |
69 | Sabrina Hamoud Ruhwey | Wilaya ya Kyela |
MKOA WA MOROGORO | ||
70 | Ruth John Magufuli | Wilaya ya Morogoro |
71 | Said Hussein Nguya | Wilaya ya Mvomero |
72 | Salome Dismas Mkinga | Wilaya ya Kilosa |
73 | Abraham Sanga Mwaikwila | Wilaya ya Kilombero |
74 | Imani Melkesed Mpatali | Wilaya ya Ulanga |
75 | Jeremia Anania Mapogo | Wilaya ya Gairo |
76 | Saida Abas Mhanga | Wilaya ya Malinyi |
MKOA WA MTWARA | ||
77 | Mwinyi Ahmed Mwinyi | Wilaya ya Mtwara |
78 | Fatima Said Kubenea | Wilaya ya Masasi |
79 | Rashid Hamidu Shaban | Wilaya ya Tandahimba |
80 | Thomas Safari Hareohay | Wilaya ya Newala |
81 | Juma Said Kanyinda | Wilaya ya Nanyumbu |
MKOA WA MWANZA | ||
82 | Abdi Mohamed Mkange | Wilaya ya Misungwi |
83 | Jubilete Win Lauwo | Wilaya ya Magu |
84 | Mohamed Mussa Mtulyakwaku | Wilaya ya Kwimba |
85 | Cuthbert Usi Midala | Wilaya ya Sengerema |
86 | Thomas James Salala | Wilaya ya Nyamagana |
87 | Mariam Abubakari Msengi | Wilaya ya Ilemela |
88 | Alan Augustine Mhina | Wilaya ya Ukerewe |
MKOA WA NJOMBE | ||
89 | Agatha Olivia Mhaiki | Wilaya ya Njombe |
90 | Grace Huruma Mgeni | Wilaya ya Makete |
91 | Gilbert Ezekiel Sandagila | Wilaya ya Ludewa |
92 | Veronica Gerald Sanga | Wilaya ya Wanging'ombe |
MKOA WA PWANI | ||
93 | Sarah Sudi Ngwere | Wilaya ya Bagamoyo |
94 | Moses Gerald Magogwa | Wilaya ya Kibaha |
95 | Bupe Hezron Mwakibete | Wilaya ya Kisarawe |
96 | Olivanues Paul Thomas | Wilaya ya Mafia |
97 | Omary Saidi Mwanga | Wilaya ya Mkuranga |
98 | Ayubu Yasin Sebabile | Wilaya ya Rufiji |
99 | Mariam Francis Katemana | Wilaya ya Kibiti |
MKOA WA RUKWA | ||
100 | Torry Mkama Chrisant | Wilaya ya Nkasi |
101 | Moses Gabriel Masinga | Wilaya ya Sumbawanga |
102 | Servi N. Josephat | Wilaya ya Kalambo |
MKOA WA RUVUMA | ||
103 | Hassan Bakari Nyange | Wilaya ya Namtumbo |
104 | Milongo Rashi Sanga | Wilaya ya Tunduru |
105 | Mtella Allam Mwampamba | Wilaya ya Songea |
106 | Salumu Mohamed Ismail | Wilaya ya Nyasa |
107 | Pendo Daniel Ndumbaro | Wilaya ya Mbinga |
MKOA WA SHINYANGA | ||
108 | Hamad Rajabu Mbega | Wilaya ya Kahama |
109 | Neema Michael Dachi | Wilaya ya Kishapu |
110 | Said Raphael Kitinga | Wilaya ya Shinyanga |
MKOA WA SIMIYU | ||
111 | Justine Joseh Manko | Wilaya ya Bariadi |
112 | Athuman Zahoro Kalaghe | Wilaya ya Maswa |
113 | Eliasa Kassim Mtarawanje | Wilaya ya Meatu |
114 | Mwanana Uwesu Msumi | Wilaya ya Itilima |
115 | Japhari Kubecha Mghamba | Wilaya ya Busega |
MKOA WA SINGIDA | ||
116 | James Mpanduji Mchembe | Wilaya ya Manyoni |
117 | Warda Abdallah Obathany | Wilaya ya Iramba |
118 | Goodluck Abinala Mangomango | Wilaya ya Singida |
119 | Rashid Mohamed Rashid | Wilaya ya Ikungi |
120 | Peter Nicholas Masindi | Wilaya ya Mkalama |
MKOA WA SONGWE | ||
121 | Reuben Michael Chongolo | Wilaya ya Songwe |
122 | Abdallah Ramadhan Mayombo | Wilaya ya Ileje |
123 | Mbwana Rajabu Kambangwa | Wilaya ya Mbozi |
124 | Frank John Mkinda | Wilaya ya Momba |
MKOA WA TABORA | ||
125 | Asha Juma Churu | Wilaya ya Tabora |
126 | Neema Fidelis Mfugale | Wilaya ya Uyui |
127 | Innocent Mahendeka Nsena | Wilaya ya Urambo |
128 | Elizabeth Emmanuel Rwegasira | Wilaya ya Igunga |
129 | Winfrida Emmanuel Funto | Wilaya ya Nzega |
130 | Andrea Izziga Ng'wani | Wilaya ya Sikonge |
131 | Mwamvua Bakari Mnyongo | Wilaya ya Kaliua |
MKOA WA TANGA | ||
132 | Joseph Sostenes Sura | Wilaya ya Lushoto |
133 | Mwanaidi Adadi Rajabu | Wilaya ya Korogwe |
134 | Magreth George Killo | Wilaya ya Handeni |
135 | Mikaya Tumaini Dalmia | Wilaya ya Tanga |
136 | Mohamed Mussa Mfaki | Wilaya ya Muheza |
137 | Ester Zulu Gama | Wilaya ya Pangani |
138 | Salum Abdul Palango | Wilaya ya Mkinga |
139 | Tamko Mohamed Ally | Wilaya ya Kilindi |
B) MABADILIKO YA WAKURUGENZI WATENDAJI WA HALMASHAURI ZA SERIKALI ZA MITAA
NA. | JINA | HALMASHAURI ALIYOPANGIWA |
---|---|---|
MKOA WA ARUSHA | ||
1 | Stephen Anderson Ulaya | Halmashauri ya Wilaya ya Longido |
2 | Zainabu Juma Makwinya | Halmashauri ya Wilaya ya Meru |
3 | Juma Mussa Hokororo | Halmashauri ya Wilaya ya Karatu |
4 | Nassoro Bilal Shemzigwa | Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro |
5 | Selemani Hamis Msumi | Halmashauri ya Wilaya ya Arusha |
6 | Happiness Raphael Laizer | Halmashauri ya Wilaya ya Monduli |
7 | Juma Hamsini Seph | Halmashauri ya Jiji la Arusha |
MKOA WA DAR ES SALAAM | ||
8 | Hanifa Suleiman Hamza | Halmashauri ya Manispaa ya Kindondoni |
9 | Elias Runeye Ntiruhungwa | Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo |
10 | Elihuruma Mabelya | Halmashauri ya Manispaa ya Temeke |
11 | Erasto Nehemia Kiwale | Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni |
12 | Jomary Mrisho Satura | Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam |
MKOA WA DODOMA | ||
13 | Omary A. Nkullo | Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa |
14 | Mwanahamisi Haidari Ally | Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa |
15 | Siwema Hamud Jumaa | Halmashauri ya Wilaya ya Chemba |
16 | Shaban Kapala Millao | Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa |
17 | Paul Mamba Sweya | Halmashauri ya Mji wa Kondoa |
18 | Zaina Mfaume Mlawa | Halmashauri ya Wilaya ya Bahi |
19 | Semistatus Hussein Mashimba | Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino |
20 | John Lipesi Kayombo | Halmashauri ya Jiji la Dodoma |
MKOA WA GEITA | ||
21 | Lutengano George Mwalwiba | Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe |
22 | Husna Toni Chambo | Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'wale |
23 | Zahara Muhidin Michuzi | Halmashauri ya Mji wa Geita |
24 | Karia Rajabu Magaro | Halmashauri ya Wilaya ya Geita |
25 | Mandia Hassan Kihiyo | Halmashauri ya Wilaya ya Chato |
26 | Saada Selemani Mwaruka | Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe |
MKOA WA IRINGA | ||
27 | Lain Ephraim Kamendu | Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo |
28 | Charles Edward Fussi | Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi |
29 | Ayubu Juma Kambi | Halmashauri ya Mji wa Mafinga |
30 | Bashir Paul Mhoja | Halmashauri ya Wilaya ya Iringa |
31 | Kastori G. Msigala | Halmashauri ya Manispaa ya Iringa |
MKOA WA KAGERA | ||
32 | Michael Francis Nzyungu | Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe |
33 | Hamid Ahmed Njovu | Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba |
34 | Inncocent M. Mukandala | Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo |
35 | James Marco John | Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa |
36 | Solom Obedi Kimilike | Halmashauri ya Wilaya ya Ngara |
37 | Peter Maiga Nyanja | Halmashauri ya Wilaya ya Muleba |
38 | Fatina Hussein Laay | Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba |
39 | John Paul Wanga | Halmashauri ya Wilaya ya Misenyi |
MKOA WA KATAVI | ||
40 | Juma Shaaban Juma | Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika |
41 | Teresia Aloyce Irafay | Halmashauri ya Wilaya ya Mlele |
42 | Sophia Juma Kumbuli | Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda |
43 | Mohamed R. Ntandu | Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo |
44 | Shamim Daudi Mwariko | Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe |
MKOA WA KIGOMA | ||
45 | Athumani Francis Msabila | Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji |
46 | Ndaki Stephano Muhuli | Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko |
47 | Essau Hosiana Ngoloka | Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe |
48 | Josephat Kashushuru Rwiza | Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu |
49 | Deocleus M. Rutema | Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo |
50 | Dollar Rajab Kusenge | Halmashauri ya Mji wa Kasulu |
51 | Rose Robert Manumba | Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma |
52 | Zainabu Suleman Mbunda | Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza |
MKOA WA KILIMANJARO | ||
53 | Rashid Karim Gembe | Halmashauri ya Manispaa ya Moshi |
54 | Dionis Maternus Nyinga | Halmashauri ya Wilaya ya Hai |
55 | Anastazia Tutuba Ruhamvya | Halmashauri ya Wilaya ya Same |
56 | Mwajuma Abasy Nasombe | Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga |
57 | Dodwin Justin Chacha | Halmashauri ya Wilaya ya Rombo |
58 | Shadrack M. Mhagama | Halmashauri ya Wilaya ya Moshi |
59 | Haji Musa Mnasi | Halmashauri ya Wilaya ya Siha |
MKOA WA LINDI | ||
60 | Tina Amelye Sekambo | Halmashauri ya Wilaya ya Liwale |
61 | George Emmanuel Mbilinyi | Halmashauri ya Wilaya ya Mtama |
62 | Juma Ally Mnwele | Halmashauri ya Manispaa ya Lindi |
63 | Chionda Mfaume Kawawa | Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea |
64 | Frank Fabian Chonya | Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa |
65 | Hanan Mohamed Bafagh | Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa |
MKOA WA MANYARA | ||
66 | Francis E. Namaumbo | Halmashauri ya Wilaya ya Hanang |
67 | Upendo Eric Mangale | Halmashauri ya Mji wa Babati |
68 | Abubakar Abdullah Kuuli | Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu |
69 | Hawa Abdul Hassan | Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto |
70 | Anna Philipo Mbogo | Halmashauri ya Wilaya ya Babati |
71 | Yefred Edson Myenzi | Halmashauri ya Mji wa Mbulu |
72 | Gracian Max Makota | Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro |
MKOA WA MARA | ||
73 | Solomon Isaack Shati | Halmashauri ya Wilaya ya Tarime |
74 | Changwa Mohamed Mkwazu | Halmashauri ya Wilaya ya Bunda |
75 | Bosco Addo Ndunguru | Halmashauri ya Manispaa ya Musoma |
76 | Emmanuel John Mkongo | Halmashauri ya Mji wa Bunda |
77 | Gimbana Emmanuel Ntavyo | Halmashauri ya Mji wa Tarime |
78 | Abdul Omari Mtaka | Halmashauri ya Wilaya ya Rorya |
79 | Aziza Juma Baruti | Halmashauri ya Wilaya ya Butiama |
80 | Palela Msongela Nitu | Halmashauri ya Wilaya ya Musoma |
81 | Afraha Nassoro Hassan | Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti |
MKOA WA MBEYA | ||
82 | Misana Kalela Kwangura | Halmashauri ya Wilaya ya Mbalali |
83 | Renatus Blas Mchau | Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe |
84 | Tamim Hamad Kambona | Halmashauri ya Wilaya ya Chunya |
85 | Loema Peter Isaay | Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo |
86 | Stephen Edward Katemba | Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya |
87 | Florah Angelo Luhala | Halmashauri ya Wilaya ya Kyela |
88 | John John Nchimbi | Halmashauri ya Jiji la Mbeya |
MKOA WA MOROGORO | ||
89 | Joanfaith John Kataraia | Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro |
90 | Ally Hamu Machela | Halmashauri ya Manispaa ya Mororogoro |
91 | Rehema Said Bwasi | Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi |
92 | Saida Adamjee Mahungu | Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga |
93 | Lena Martin Nkaya | Halmashauri ya Mji wa Ifakara |
94 | Kisena Magena Mabuba | Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa |
95 | Stephano Bulili Kaliwa | Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba |
96 | Sharifa Yusuf Nabalang'anya | Halmashauri ya Wilaya ya Gairo |
97 | Linno Pius Mwageni | Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero |
MKOA WA MTWARA | ||
98 | Geofrey Moses Nauye | Halmashauri ya Mji wa Newala |
99 | Duncan Golden Thebas | Halmashauri ya Wilaya ya Newala |
100 | Emmanuel H. Mwaigobeko | Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara |
101 | Tatu Said Issike | Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara |
102 | Ibrahim John Mwanauta | Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu |
103 | Thomas Edwin Mwailafu | Halmashauri ya Mji wa Nanyamba |
104 | Beatrice Claver Mwinuka | Halmashauri ya Wilaya ya Masasi |
105 | Erica Epaphras Yegela | Halmashauri ya Mji wa Masasi |
106 | Mariam Said Mwanzalima | Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba |
MKOA WA MWANZA | ||
107 | Happiness Joachim Msanga | Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba |
108 | Emmanuel L. Sherembi | Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe |
109 | Kibamba Kiomoni Kiburwa | Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela |
110 | Fidelica Gabriel Myovella | Halmashauri ya Wilaya ya Magu |
111 | Binuru Musa Shekidele | Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema |
112 | Joseph Constantine Mafuru | Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi |
113 | Aron Kagurumjuli | Halmashauri ya Jiji la Mwanza |
114 | Benson Peter Mihayo | Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa |
MKOA WA NJOMBE | ||
115 | Sunday Deogratius Ndori | Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa |
116 | William Mathew Makufwe | Halmashauri ya Wilaya ya Makete |
117 | Christopher Aloyce Sanga | Halmashauri ya Wilaya ya Njombe |
118 | Maryam Ahmed Muhaji | Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe |
119 | Keneth Keneth Haule | Halmashauri ya Wilaya ya Makambako |
120 | Kuluthum Amour Sadick | Halmashauri ya Mji wa Njombe |
MKOA WA PWANI | ||
121 | Michael John Gwimile | Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji |
122 | Waziri Khachi Kombo | Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga |
123 | Mshamu Ally Munde | Halmashauri ya Mji wa Kibaha |
124 | Ramadhani Salmin Possi | Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze |
125 | Kassim Seif Ndumbo | Halmashauri ya Wilaya ya Mafia |
126 | Butamo Nuru Ndalahwa | Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha |
127 | Shauri Selenda Msuya | Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo |
128 | Beatrice Dominic Kwai | Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe |
129 | Hemedi Saidi Magori | Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti |
MKOA WA RUKWA | ||
130 | Lightness Stanley Msemo | Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga |
131 | Wiliam A. Mwakalambile | Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi |
132 | Shafi Kassim Mpenda | Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo |
133 | Catherine Michael Mashalla | Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga |
MKOA WA RUVUMA | ||
134 | Chiriku Hamisi Chilumba | Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo |
135 | Neema Michael Maghembe | Halmashauri ya Wilaya ya Songea |
136 | Chiza Cyprian Marando | Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru |
137 | Khalid Abdilahi Khalif | Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa |
138 | Juma Haji Juma | Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga |
139 | Amina Hamisi Seif | Halmashauri ya Mji wa Mbinga |
140 | Frederick Damas Sagamiko | Halmashauri ya Manispaa ya Songea |
141 | Sajidu Idrisa Mohamed | Halmashauri ya Wilaya ya Madaba |
MKOA WA SHINYANGA | ||
142 | Alexius Revocatus Kagunze | Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga |
143 | Khamis Jaaphar Katimba | Halmashauri ya Wilaya ya Msalala |
144 | Hadija Mohamed Kabojela | Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu |
145 | Anderson David Msumba | Halmashauri ya Manispaa ya Kahama |
146 | Emmanuel Johnson Matinyi | Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu |
147 | Simon Sales Berege | Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga |
MKOA WA SIMIYU | ||
148 | Elizabeth Mathias Gumbo | Halmashauri ya Wilaya ya Itilima |
149 | Maisha Selemani Mtipa | Halmashauri ya Wilaya ya Maswa |
150 | Veronica Vicent Sayore | Halmashauri ya Wilaya ya Busega |
151 | Adrian Jovin Jungu | Halmashauri ya Mji wa Bariadi |
152 | Halidi Muharami Mbwana | Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi |
153 | Hamis Athman Masasi | Halmashauri ya Wilaya ya Meatu |
MKOA WA SINGIDA | ||
154 | Esther Ananiah Chaula | Halmashauri ya Wilaya ya Singida |
155 | Asia Juma Messos | Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama |
156 | Justice Lawrance Kijazi | Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi |
157 | Michael Augustino Matomora | Halmashauri ya Wilaya ya Iramba |
158 | John Kulwa Mgalula | Halmashauri ya Wilaya ya Itigi |
159 | Jeshi Godfrey Lupembe | Halmashauri ya Manispaa ya Singida |
160 | Jimson Peter Mhagama | Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni |
MKOA WA SONGWE | ||
161 | Philemon Mwita Magesa | Halmashauri ya Mji wa Tunduma |
162 | Regina Lazaro Bieda | Halmashauri ya Wilaya ya Momba |
163 | Abdallah Hamis Nandonde | Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi |
164 | Cecilia Donath Kavishe | Halmashauri ya Wilaya ya Songwe |
165 | Nuru Waziri Kindamba | Halmashauri ya Wilaya ya Ileje |
MKOA WA TABORA | ||
166 | Modest Joseph Apolinary | Halmashauri ya Wilaya ya Nzega |
167 | Jerry Daimon Mwaga | Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua |
168 | Grace Stephano Quintine | Halmashauri ya Wilaya ya Urambo |
169 | Selemani Mohamed Pandawe | Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge |
170 | Leokadia Gotham Humera | Halmashauri ya Wilaya ya Uyui |
171 | Shomari Salum Mndolwa | Halmashauri ya Mji wa Nzega |
172 | Elias Mahwago Kayandabila | Halmashauri ya Manispaa ya Tabora |
173 | Mwantum Hamis Mgonja | Halmashauri ya Wilaya ya Igunga |
MKOA WA TANGA | ||
174 | Spora Jonathan Liana | Halmashauri ya Jiji la Tanga |
175 | Saidi Majaliwa | Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi |
176 | Isaya Mugishangwe Mbenje | Halmashauri ya Wilaya ya Pangani |
177 | Zahra Abdul Msangi | Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga |
178 | Ikupa Mwasyoge | Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto |
179 | Mariamu Ukwaju Masebu | Halmashauri ya Mji wa Handeni |
180 | Halfan Hashim Magani | Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe |
181 | Baraka Michael Zikatimu | Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli |
182 | Saitoti Zelothe Stephen | Halmashauri ya Wilaya ya Handeni |
183 | Sakina Jumanne Mohamed | Halmashauri ya Mji wa Korogwe |
184 | Juma Mohamed Mhina | Halmashauri ya Wilaya ya Muheza |
Mabadiliko haya yameanza, tarehe 6 Juni, 2023.
0 Comments