Simba yaagana na Sakho

KLABU ya Simba imefikia makubaliano ya kumuuza kiungo mshambuliaji Pape Sakho kwenda klabu ya Quevilly Rouen Metropole.

Simba imetoa taarifa hiyo leo Julai 24, 2023 kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii.

“Tunamtakia kila la kheri Sakho kwenye timu yake mpya” imeeleza taarifa hiyo.

Simba ilimsajili Sakho Agosti 14, 2021 akitokea Tungueth Rufisque ya nchini Senegal.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments