RAIS SAMIA AHUDHURIA TAMASHA LA SIMBA DAY 2023

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya mechi na timu ya Power Dynamos ya Zambia iliyofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi wengine wakati akiangalia mechi kati ya Simba na Power Dynamos ya Zambia iliyofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Jezi ya Timu ya Simba kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Try Again wakati wa Sherehe za Simba Day 2023 zilizofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula kuhusu historia ya Klabu ya Simba mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wachezaji wa timu ya Power Dynamos ya Zambia kabla ya mchezo na Simba uliofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya kuanza kwa mchezo baina ya Simba na Power Dynamos ya Zambia uliofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika kilele cha Tamasha la Simba Day 2023 lililofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya Tamasha la Simba Day 2023 Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments