Walcott astaafu soka

MSHAMBULIAJI wa England, Theo Walcott ametangaza kustaafu soka akiwa na miaka 34.

Walcott alianza kucheza Southampton mwaka 2005, mwaka 2006 alijiunga na Arsenal, mwaka 2018 alijiunga na Everton, 2021 akarejea Southampton.

Amecheza michezo 563 na kufunga mabao 129 kwa ngazi ya klabu na michezo 47 na kufunga mabao manane akiwa na England.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments