Jakaya: Washusheni kufundisha shule za msingi

RAIS Mstaafu Jakaya Kikwete amesema ili elimu ya Tanzania ipige hatua, ni wakati sasa wa Wizara ya Elimu nchini kuchukua hatua ya kupeleka walimu wenye shahada na uzamili katika shule za awali na msingi.

Jakaya ameyasema hayo leo Agosti 31, 2023 jijini Dar es Salaam katika hafla ya uchangiaji wa fedha za kuwezesha serikali kupata kiasi cha Dola za Marekani 50,000 za GPE Multiplier Grant.

Amesema, katika nchi zilizoendelea walimu wenye uzamili ndio wanaofundisha chekechea.

“Walimu wanaotoka vyuo vikuu wataremsheni kufundisha shule za msingi ndipo tutainua ubora wa elimu yetu. ” Amesisitiza Kikwete

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments