Klopp achefukwa swali la Salah kuondoka

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp amechukizwa na swali la mwandishi wa habari kuhusu Mohammed Salah kwenda Saudia.

Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Wolves, Klopp hakufurahishwa na swali la mwandishi lililohoji mustakabali wa Salah.

“Unanitania sio? yeah huwezi kusubiri mpaka Disemba ukauliza swali lako?,” alihoji Klopp

Bado kuna tetesi kuwa huenda Salah akatimkia Saudia Arabia.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments