Mbappe hatihati kuivaa Newcastle

MSHAMBULIAJI wa PSG, Kylian Mbappe amepata jeraha la kifundo cha mguu lililomlazimu kufanyiwa mabadiliko katika mchezo wa Ligue 1 dhidi ya Marseille jana.

Mbappe amepata jeraha hilo baada ya kuchezewa rafu na Leonardo Balerdi hivyo kutolewa nje kabla ya mapumziko.

Bado hazijatoka taarifa rasmi za muda gani atakaa nje, ila imeelezwa huenda kuna hatihati kukosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Newcastle United Oktoba 4.

Katika mchezo huo PSG iliifunga Marseille mabao 4-0 mabao yalfungwa na Achraf Hakimi, Randal Kolo Muani na mawili ya Goncalo Ramo

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments