MSHAMBULIAJI Aleksandar Mitrovic amejiunga na Al-Hilal.
Aleksandar Mitrović: “ Sina cha ajabu tena England nimecheza kwa miaka mingi.”
“Nina furaha sana kuwasili kwenye klabu kubwa Al-Hilal ni kama Real Madrid Ulaya.
”Nina furaha hapa na nataka kushinda mataji.” aliiambia Gazzetta Dello Sport.
0 Comments