Mshambuliaji Scotland afariki dunia

 

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Scotland, Jim Forrest amefariki dunia leo.

Forrest aliwahi kucheza Rangers ya nchini humo, amefariki akiwa na umri wa miaka 79. Pia aliwahi kucheza na Aberdeen, Preston North End na San Antonio Thunder.

“Familia ya Rangers leo imehuzunishwa na kumpoteza mshambuliaji wa zamani, Jim Forrest, akiwa na umri wa miaka 79.” Imeeleza taarifa ya Ranger kwenye mtandao wa X.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments