Nay aitikia wito polisi central

 

MSANII wa ‘Hip Hop’ Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefika kituo cha polisi cha kati ‘Police Central’ Dar es Salaam kuitikia wito kuhusu wimbo wa Amkeni.

Rapa huyo amewasili kituoni hapo akiwa na mwanasheria wake, Jebra Kambole.

Akizungumza mara badaa ya kuwasili Nay amesema “Ukiwa sauti ya watu kuja sehemu kama hii ni kawaida, mimi ni sauti ya watu acha nikawasikilize nitakuwa na cha kuongea lakini kwa sasa sina.” Amesema Nay.

Mwezi uliopita Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) ilieleza katika taarifa yake kuwa baada ya kupokea taarifa ya Baraza la Sanaa (BASATA) kufungia wimbo huo kwa madai ya maudhui yake kuwa na mwelekeo wa wananchi kutokuwa na imani na serikali, mamlaka hiyo ilivitaka vyombo vya habari kutoutumia wimbo hu

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments