RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKOA WA MTWARA KATIKA UWANJA WA NANGWANDA SIJAONA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Mtwara kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Nangwanda Sijaona tarehe 15 Septemba, 2023.


Wabunge, Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Nangwanda Sijaona tarehe 15 Septemba, 2023.
 

Wasanii mbalimbali wakitumbuiza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Nangwanda Sijaona tarehe 15 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba,
2023.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments