RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MASASI MKOANI MTWARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja Bomani tarehe 17 Septemba, 2023.

 Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika kwenye uwanja Bomani, Masasi Mkoani Mtwara tarehe 17 Septemba, 2023.


Wananchi wa Masasi wakiwa kwenye shamrashamra za kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Bomani, Masasi Mkoani Mtwara tarehe 17 Septemba, 2023.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments