SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA RAIS WA URUGUAY KUFANYA MAZUNGUMZO

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Mabunge Duniani kwa Kundi la Afrika (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na kuzungumza jambo na Rais wa Uruguay Mhe. Luis Lacalle Pou wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa the 2nd World Summit of the Committees of the Future uliofanyika katika Ukumbi wa Bunge la nchi hiyo Jijini Montevideo leo tarehe 25 Septemba, 2023.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments