STAND UNITED YAINYUKA PAMBA JIJI FC 1 - 0

Contact

Timu ya Stand United imeibuka  na ushindi katika mchezo dhidi ya Pamba Jiji Fc katika mchezo wa ligi ya NBC Championship.

Mchezo huo uliopigwa jana Septemba 22,2023 katika uwanja wa CCM  Kambarage Mjini Shinyanga uliomalizika kwa Stand United kuibuka mshindi kwa goli 1 - 0 huku goli la ushindi kwa Stand United likifungwa na Emmanuel Mtambuka Dk '55' ya mchezo.



TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments