WANANCHI JIFUNZENI UFUGAJI WA NYUKI KIBIASHARA

                        
Meneja wa Kijiji cha Nyuki ALIBARIKI JOSEPHAT ametoa wito kwa wananchi kwenda kujifunza Ufugaji wa Nyuki Kibiashara katika Darasa Huru linalotolewa na Kijiji hicho cha Nyuki kilichopo Kisaki, Manispaa ya Singida.

Na Rafuru Kinala Singida

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments