Recent-Post

WAZIRI KAIRUKI AMPOKEA RAIS WA SENEGAL

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki amempokea Rais wa Sénégal, Mhe. Macky Sall  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ambaye amewasili nchini kuhudhuria Mkutano wa Mifumo ya Chakula barani Afrika ambao umeanza nchini kuanzia tarehe 5-8 Septemba 2023.
Post a Comment

0 Comments