WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KATIKA KILELE CHA MDAHALO WA KITAIFA WA NACOPHA

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan  katika Kilele cha Mdahalo wa Kitaifa  wa Baraza la Watu Wanaoishi na Virus vya Ukimwi ( NACOPHA) uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Jakaya Kikwete  jijini Dodoma, Septemba 7, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Kilele cha Mdahalo wa Kitaifa   Baraza la Watu Wanaoishi  na Virusi vya Ukimwi  Tanzania  (NACOPHA)  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Jakaya Kikwete  jijini Dodoma, Septemba 7, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na viongozi  walioshiriki katika Kilele cha Mdahalo wa Kitaifa   Baraza la Watu Wanaoishi  na Virusi vya Ukimwi  Tanzania  (NACOPHA) wakiimba limbo wa taifa kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Jakaya Kikwete  jijini Dodoma, Septemba 7, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na watu wanaoishi  na Virusi vya ukimwi  alipotembelea banda la Baraza la Watu Wanaoishi  na Virusi vya Ukimwi  Tanzania  (NACOPHA) katika Kilele cha Mdahalo wa Kitaifa  wa NACOPHA uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Jakaya Kikwete  jijini Dodoma, Septemba 7, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments