PAUL MAKONDA KATIBU MPYA WA NEC, ITIKADI NA UENEZI CCM AKICHUKUA MIKOBA YA SOPHIA MJEMA

 

Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Paul Makonda kuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akichukua nafasi ya Sophia Mjema aliyeteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Wanawake na Makundi Maalum.

Makonda amewahi kushika nafasi mbalimbali ikiwamo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.



TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments