Rais Samia akutana na Rais wa CAF

RAIS wa Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Patrice Motsepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba.

Motsepe yuko nchini kushuhudia mchezo wa African Football League kati ya Simba SC dhidi ya Al-Ahly uwanja wa Mkapa.

Post a Comment

0 Comments