Rooney kocha mpya Birmingham

 

ALIYEKUWA mchezaji wa Manchester United, Wayne Rooney ameteuliwa na klabu ya Birmingham City kuwa kocha mkuu na kusaini mkataba wa miaka mitatu.

Rooney anachukua nafasi hiyo baada ya siku kadhaa zilizopita kuachana na DC United ya Marekani.

“Nimefurahi kuwa hapa. Ni wazi kabisa kwamba wana mpango. Ni mradi ambao unanipa hisia ya kusudi na siwezi kusubiri kuanza”.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments