Vinicius Junior aongeza mkataba Madrid

 

MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Vinicius Junior amesaini mkataba mpya wa miaka minne utakaomuweka klabuni hapo hadi mwaka 2027. Real Madrid wamethibitisha.

Mkataba hup umewekwa kipengele cha ‘realese clause’ ya Euro bilioni 1 ambayo pia itawekwa kwenye mkataba mpya wa kiungo, Ferde Valverde, Camavinga na Rodrigo ambao wanatarajiwa kuongeza mkataba.

‘Realese clause’ au ‘Buyout clause’ Kifungu cha kuachilia ada iliyowekwa ambayo klabu nunuzi inaweza kuilipa klabu inayouza ili kuilazimisha kimkataba kumshusha mchezaji au kocha.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments