Mwanahabari ajitosa uenyekiti CCM Mwanza

Makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Mwanza, akiwemo mwandishi wa habari Gerald Robert wamechukua fomu ya uenyekiti wa CCM wa mkoa huo.

Uchaguzi huo utafanyika kuziba nafasi ya Sixbert Jichabu aliyeteuliwa  kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa  Halmashauri ya Masasi mkoani Mtwara.

Ukiacha mwanahabari huyo, wengine waliochukua fomu ni Hamidu Said ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mirongo, ambapo pia yupo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Sengerema, Mark Augustino

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments