RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUSHIRIKI COP28

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akielekea Dubai kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), tarehe 30, Novemba 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akielekea Dubai kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28), tarehe 30, Novemba 2023.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments