Taifa Stars yaanza kibabe safari ya Kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeanza vyema kampeni ya kuisaka tiketi ya kucheza Michuano ya kombe la Dunia mwaka 2026 kwa kuitandika Niger 1-0 katika mchezo uliopigwa nchini Morocco.
Bao la Stars limefungwa na Charles M’mombwa katika kipindi cha pili cha mchezo huo, matokeo hayo yameifanya Stars kuandikisha alama 3 za kwanza kwenye kundi E.
 
Mchezo unaofuata utapigwa Novemba 21 dhidi ya Morocco katika Uwanja wa Benjamini Mkapa kuanzia saa nne usiku.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments