Yanga ni kama maji haikwepeki

 

SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameipongeza klabu ya Yanga kwa ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Simba.
Pongezi hizo amezitoa leo bungeni, jijini Dodoma katika Mkutano wa 13, Kikao cha sita cha Bunge.
“Tunawapongeza Yanga kwa mpira mzuri waliocheza jana,” amesema Dk. Tulia
Hata hivyo, pongezi hizi za Dk. Tulia zimechagizwa zaidi na ishara za wabunge kumpungia Spika mkono.
“Waheshimiwa wabunge nilikuwa natafakari hapa, kumbe napungiwa mkono kuenesha kwamba jana Yanga wamefunga magoli matano.” Amesema Dk. Tulia

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments