Yanga yaifuata Belouizdad

 

Msafara wa klabu ya Yanga umeondoka nchini, kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi ya, CR Belouizdad ya Algeria utakaopigwa Novemba 24, 2023.

Kikosi hicho kimeondoka nchini bila ya baadhi ya nyota wao ambao wapo kwenye majukumu ya timu za taifa, hata hivyo taarifa kutoka ndani ya timu hiyo zimeeleza kuwa wachezaji hao watajiunga moja kwa moja na kambi ya timu hiyo nchini Algeria kuanzia kesho.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments