Pole sana mjukuu wangu

MANYARA: RAIS Samia Suluhu Hassan akimjulia hali, Christina Nyangole na mtoto wake Wina Joseph mwenye umri wa mwaka 1.8,  ambao wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Hanang  mkoani Manyara, leo Desemba 7, 2023. Christina na mtoto wake ni waathirika wa mafuriko yaliyotokea Katesh.(Picha na Ikulu).

 


TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments