Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia akizungumzia uwepo wa Kocha kutoka FIFA aliyeletwa na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mpira FIFA, Arsene Wenger
 Wallece Karia ameyasema hayo leo  tarehe 16/12/2023 wakati akiongoza Mkutano Mkuu wa 18 wa TFF unaofanyika mkoani  Iringa    nchini Tanzania .
Na hizi ni picha mbali mbali za Wajumbe wa Mkutano Mkuu TFF na waalikwa mbalimbali wakifuatilia Mkutano Mkuu wa 18 wa TFF




0 Comments