MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa kati ya Yanga SC na Al-Ahly umemalizika Uwanja wa Mkapa kwa sare ya bao 1-1.
Bao Al-Ahly limefungwa na Percy Tau na Yanga limefungwa na Pacome Zouzoua.
Mpaka mapumziko, mchezo huo ulikuwa sare ya bila kufungana.
Kwa matokeo hayo Yanga ina pointi 1, Al-Ahly ina pointi 4 katika kundi D
0 Comments