Afrika, dunia iko Ivory Coast

AFRIKA, Dunia kwa mwezi mmoja itakuwa Abdijan kushuhudia mashindano ya 34 ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) huko Ivory Coast.

Washindi mara mbili wa michuano hiyo, Ivory Coast leo watakuwa dimba la Rais Alassane Ouattara maarufu ‘Olympic Stadium of Ebimpé’ dhidi ya Guinea Bissau kuanza kampeni za kuchukua kwa mara ya tatu.

Kundi A, linajumuisha timu za Ivory Coast, Nigeria, Guinea Bissau na Equatorial Guinea.

Taifa Stars ikiwa na ari ya mchezo imesafiri kilometers 4,746 mpaka Cote Divoire kwenye ardhi ya Rais Ouattara kupambania Dola milioni 17 za Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) endapo itatwaa ubingwa wa AFCON.

Zaidi ya watu milioni 61 kutoka Tanzania Jumatano hii saa 2:00 usiku watakuwa ma shauku kuona vijana wao watafanya nini kwenye michuano hiyo ya saba kwa ukubwa duniani kwa mujibu wa repoti ya ‘Bleacher Report’ itakapopambana na vijana wa Mfalme Mohammed VI.

Kundi B: Egypt, Ghana, Cape Verde, Mozambique.
Kundi C: Senegal, Cameroon, Guinea, The Gambia.
Kundi D: Algeria, Burkina Faso, Mauritania, Angola.
Kundi E: Tunisia, Mali, South Africa, Namibia.
Kundi F: Morocco, DR Congo, Zambia, Tanzania.

Hatua ya makundi

Jumamosi -Januari 13

Group A: Ivory Coast vs Guinea-Bissau – Alassane Ouattara Stadium, Abidjan.

Jumapili -Januari 14

Group A: Nigeria vs Equatorial Guinea – Alassane Ouattara Stadium, Abidjan.

Group B: Egypt vs Mozambique – Felix Houphouet-Boigny Stadium, Abidjan .
Group B: Ghana vs Cape Verde – Felix Houphouet-Boigny Stadium, Abidjan.

Jumatatu- Januari 15

Group C: Senegal vs The Gambia – Charles Konan Banny Stadium, Yamoussoukro.
Group C: Cameroon vs Guinea – Yamoussoukro.

Group D: Algeria vs Angola – Stade de la Paix, Bouake

Jumanne- Januari 16

Group D: Burkina Faso vs Mauritania – Bouake.
Group E: Tunisia vs Namibia – Amadou Gon Coulibaly Stadium, Korhogo.
Group E: Mali vs South Africa – Korhogo.

Jumatano Januari 17

Group F: Morocco vs Tanzania – Laurent Pokou Stadium, San Pedro.
Group F: DR Congo vs Zambia – San Pedro.

Alhamisi – Januari 18

Group A: Equatorial Guinea vs Guinea-Bissau – Alassane Ouattara Stadium, Abidjan.
Group A: Ivory Coast vs Nigeria – Alassane Ouattara Stadium, Abidjan.
Group B: Egypt vs Ghana – Felix Houphouet-Boigny Stadium, Abidjan.

Ijumaa – Januari 19

Group B: Cape Verde vs Mozambique – Felix Houphouet-Boigny Stadium, Abidjan.
Group C: Senegal vs Cameroon – Yamoussoukro.
Group C: Guinea vs The Gambia – Yamoussoukro.

Jumamosi – Januari 20

Group D: Algeria vs Burkina Faso – Bouake.
Group D: Mauritania vs Angola – Bouake.
Group E: Tunisia vs Mali – Korhogo.

Jumapili – Januari 21

Group F: Morocco vs DR Congo – San Pedro.
Group F: Zambia vs Tanzania – San Pedro.
Group E: South Africa vs Namibia – Korhogo.

Jumatatu – Januari 22

Group A: Equatorial Guinea vs Ivory Coast – Alassane Ouattara Stadium, Abidjan.
Group A: Guinea-Bissau vs Nigeria – Felix Houphouet-Boigny Stadium, Abidjan.
Group B: Cape Verde vs Egypt – Felix Houphouet-Boigny Stadium, Abidjan.
Group B: Mozambique vs Ghana – Alassane Ouattara Stadium, Abidjan.

Jumanne – Januari 23

Group C: The Gambia vs Cameroon – Bouake.
Group C: Guinea vs Senegal – Yamoussoukro.
Group D: Angola vs Burkina Faso – Yamoussoukro.
Group D: Mauritania vs Algeria – Bouake.

Jumatano – Januari 24

Group E: Namibia vs Mali – San Pedro.
Group E: South Africa vs Tunisia – Korhogo.
Group F: Tanzania vs DR Congo – Korhogo.
Group F: Zambia vs Morocco – San Pedr

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments