#BREAKING: Aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Misri, Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo ambaye amejiuzulu.#BandolaMediaUpdates pic.twitter.com/mE9tq1uchS
— Bandola Media (@bandolamediatz) January 15, 2024
Uteuzi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri, Dk Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wake mpya umefanyika leo Jumatatu Januari 15, 2024 wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya CCM kisha kuthibitishwa na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) iliyofanyika mjini Unguja, Zanzibar
0 Comments