KUPITIA HAALAND UTAKUWA NA UHAKIKA WA MAOKOTO YA MERIDIANBET….ZINGATIA HAYA

Mshambuliaji Earling Haaland ni mmoja tu licha ya maneno mengi juu yake kua ni aina ya mshambuliaji ambaye hakidhi vigezo vya mshmbuliaji wakisasa, Lakini yeye hajali na anazidi kutikisa nyavu tu.

Mshambuliaji huyo raia wa kimataifa wa Norway anazungumzwa kama moja ya mshambuliaji hatari kwasasa katika ulimwengu wa soka, Hii inatokana na ubora ambao amekua akiuonesha katika kupachika mabao.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako. utakua ni mchezo wa pili kukutanisha vilabu hivyo msimu huu baada ya kukutana

Tangu Haaland atambulike kwenye ulimwengu wa soka kupitia klabu ya Rb Salzburg ya nchini Austria na kuonesha umahiri wa kupachika mabao hajawahi kurudi chini na zaidi amekua akipanda kila siku mpaka sasa ndani ya klabu ya Manchester City.

Mshambuliaji huyo ameshafanikiwa kuionesha dunia yeye ni mshambuliaji wa aina gani kwani rekodi alizoweka msimu uliomalizika inawezekana zitachukua muda mrefu kuvunjika, Kwani alifanikiwa kufunga mabao 36 kwenye ligi kuu ya Uingereza jambo ambalo halikuwahi kufanyika hapo kabla.

Raia huyo wa kimataifa wa Norway licha kufanya balaa kubwa kunako ligi kuu ya Uingereza lakini alifanikiwa kua mfungaji bora katika ligi ya mabingwa ulaya msimu ulionmalizika kwa kufunga mabao 12 ambapo aliiwezesha timu yake kubeba taji hilo kama alivyofanya katika ligi kuu ya Uingereza.

Wengi waliona mshambuliaji huyo alikua anabahatisha kutokana na ambayo alikua anayaonesha kunako Rb Salzburg, na Borussia Dortmund, Lakini kitu alichofanya katika ligi kuu ya Uingereza ambayo inatambulika kama ligi ngumu zaidi ulimwenguni ndipo watu waliponyoosha mikono juu ya uwezo wa Haaland.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia na uweke mkeka wako.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments